WATENDAJI WA HALMASHAURI NCHINI WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA ‘TEA’ KUSIMAMIA MIRADI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA ELIMU

Na Mwandishi Wetu Mbeya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania(TEA) Bahati Geuzye  amesisitiza umuhimu wa watendaji wa Halmashauri nchini kushirikiana na TEA katika usimamizi wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya elimu inayofadhiliwa na Mfuko wa Elimu wa Taifa unaoratibiwa na TEA katika maeneo yao ili itekelezwe kwa ufanisi. Mkurugenzi mkuu wa TEA amesema